Loading...
 

Uundaji wa Klabu- Kuandikisha Klabu

 

 

Kufikia sehemu hii, utakuwa umeshaandikisha klabu yako rasmi. Pale utakapojiandikisha, utapewa namba ya klabu ambayo ni ya kipekee duniani kote. Unaweza ukatumia namba ya klabu kama chapa kwenye nyenzo.

Tafadhali jiandikishe hapa kwa kurejesha fomu hii.

Pia, angalia kama kuna Balozi nchini kwako na wasiliana nae kuhusu nia yako ya kuanzisha klabu mpya.

Balozi anakuwa ni muwakilishi wa Agora ambaye anakuwa makini kusaidia watu kuanzisha klabu mpya. Unaweza kuangalia nchi ambazo Agora Speakers ina mabalozi hapa. Inapendekezwa kuwa ujiunge na kundi la Facebook la duniani kote la Agora Speakers International na kundi la kiambo la Facebook nchini kwako.

Kama hamna balozi yoyote nchini kwenu, je kama mwanzilishi wa klabu ya kwanza ungependa kuwa mmoja wa mabalozi? Angalia kipengele hiki maalum kuhusu Mabalozi.


Contributors to this page: agora and zahra.ak .
Page last modified on Monday August 30, 2021 01:43:40 CEST by agora.